124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Mkuy jua tu kuwa huyu anaipenda kazi yake na anaifanya kwa ufanisi mkubwa!hata wewe ukiipenda na kuijali kazi yako kuna watu watakuona chizi .Na kama anao hawamshauri au wanafurahi ndugu yao kuanika mwili wake uchi hadharani??![]()
Sasa huyu kazi yake ni mambo ya uchi uchi tu aidha kuuonesha au kuugawa /kuuza kwa maana ya mwanamke au binr mwenye kujiheshimu na anashughuli za kueleweka machoni pa jamii staarab hawezi kujishughulisha na yaliyo chupini mwake kiasi hiki tena kifedheha!