Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Napenda kuuliza juu ya msanii wetu MRISHO MPOTO mbona tangu tupate uongozi mpya ni kama game ime-shake kwa upande wake au mimi ndo nimepunguza ushabiki? au na yeye ameenda kuunga mkono juhudi za mshikaji?