Hivi Mrisho Mpoto upepo wa Magufuli unamchanganya au?

Hivi Mrisho Mpoto upepo wa Magufuli unamchanganya au?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Napenda kuuliza juu ya msanii wetu MRISHO MPOTO mbona tangu tupate uongozi mpya ni kama game ime-shake kwa upande wake au mimi ndo nimepunguza ushabiki? au na yeye ameenda kuunga mkono juhudi za mshikaji?
 
Itakua anaridhishwa na utendaji wa jamaa
 
Back
Top Bottom