Hivi msanii Mejja yupo wapi siku hizi?

Hivi msanii Mejja yupo wapi siku hizi?

Kuna wimbo yake inaitwa Niko Poa (Barua) na nyingine inaitwa Furahia. Huyu jamaa nilikuwa namkubalia sana na mwenzake Jua Cali. Sijui siku hizi wapo wapi?

Kwenye wimbo wake wa NIPO POA kuna mistari hii


Huu ni okonkwo
Tangu nikuje Nairobi
Watu wangu wa Majengo sijawasahau
Skia hii

Bro najua nimekosa sana
Ndio nimeandika hii barua mjue vile nafanya
Hope huko Nyeri bado mnakazana
Kabla niendelee salimia sana matha
Najua unashindwa ni wapi nilikuwa nalala
Clemo alinichukua akaniweka kama brother
Akanipatia mavazi na kitu ya kumanga
Tangu nitoe ngoma yangu ya ulevi
Huku Nairobi nimejua watu wengi
Wengine wazuri wengine hawanipendi
Sijali Majengo ilinifunza kaa kijeshi
Huku Calif mi huenda Jino Moja
Ama base ya Mama Sidi kushikisha gomba
Dough ikiingia ntakuja kuwaona
Kina Omari kina Juma kina Zoa
Wee wasalimie na uwaambie niko poa




Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua naupenda huu wimbo watu wote ofisin nilipokua walikua wanajua
 
Jamaa ana vituko sana kwenye nyimbo zake.
 
Anatrend now
Screenshot_20200411-080419.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni yaleo ni yaleo tunauza hamsini.....Tuchukue rangi ya manyumba tufanye face painting au kama una CD ndani ya nyumba zimeharibika tunaweza wadanganya ni za mtambaruka.
 
Ni yaleo ni yaleo tunauza hamsini.....Tuchukue rangi ya manyumba tufanye face painting au kama una CD ndani ya nyumba zimeharibika tunaweza wadanganya ni za mtambaruka.
Nauza hizi sufuria
Ila hizi alama zinafutika



Kumbe vitu vyenyewe vya wizi.
 
Back
Top Bottom