ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au oilcom hivi nao uwa wanapigwa na kutumiwa hizi msg.nimewaza tu