ina kera sana, kuna siku nilikua na chat na manzi mmoja na mtongoza asee....nilituma text ika chelewa kujibiwa sasa kila muda nilkua naangalia simu kama kajibu mpk nika kata tamaa.Nili rusha simu kitandani usingiz ukanipita.Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au oilcom hivi nao uwa wanapigwa na kutumiwa hizi msg.nimewaza tu
Mama Salma sijui kwa nini anapenda kujiaibisha hajawai kuongea point hata siku moja kwani akikaa akitulia mshahara hauingii.Bora wewe unajiliwaza kwa kuandika mada kama hii.
Hii nchi inachosha sana, mara mkazikwe naye, mara mimi mke wa rais nina njaa niongezewe mshahara, mara amieni bunjumbura, kule jiwe kubwa lauzwa dubai, hujageuka unasikia 7bil royo tua zimetumika!.
Alipewa kimemo ili ageuze upepo wa issue ya zitto kuzikwa na mamake au ile royo tua tunayopigwa soon.Mama Salma sijui kwa nini anapenda kujiaibisha hajawai kuongea point hata siku moja kwani akikaa akitulia mshahara hauingii.