Hivi mshahara wa Nov 2019 umetoka?

Hivi mshahara wa Nov 2019 umetoka?

Mtumie ka meseji tu mwandikie "mwisho wa mwezi ndo huu"
 
Uliza michepuko inajua tarehe za mishahara ya mahawara kuliko mtumishi mwenyewe
 
JF Kila mtu anajifanya ana hela, yani mtu kusema anaulizia mshahahara mwenyewe anaona shida mpka asingizie mtu mwingine.
Kuna mtumishi wa umma namdai pesa yangu kaahidi mwisho wa mwezi.

Ukitoka nikamdai
 
Nipo home nimelala ukitoka tu naenda sinza narudi jumapili jioni
 
Back
Top Bottom