Hivi mshawahi kukutana na hawa jamaa

Hivi mshawahi kukutana na hawa jamaa

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2023
Posts
435
Reaction score
1,093
Habari.
Je ni matapeli au wa kweli??
Screenshot_20240113-103120_Telegram.jpg
 
Wajuzi wa Utapeli kwenye mitandao wanakuja kukupa miongozo.

TULIA HAPOHAPO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hao ni matapeli wanakuja na gia ya pre paid tasks za kulike video na kusubscribe halafu unalipwa, utapeli wao upo kwenye hizo wanaziita merchants payments.
 
Mkuu nimewapiga 23000 jana tar 12 na leo. Nmekimbia
 

Attachments

  • Screenshot_20240113_092729_Messages.jpg
    Screenshot_20240113_092729_Messages.jpg
    194.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom