Wadau, nahitaji mawazo yenu kwani naogopa kumpa mimba msichana wangu
Ahsante
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ahsante
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea mkuuNgoja nikupe elimu kidogo..
Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya demu wako kuingia bleed hadi siku ya 11-16..
Yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 16 ni siku za hatari..
Vipi.. Unataka nikufundishe na jinsi ya kuchagua mtoto!??
Post sent using JamiiForums mobile app
Sio mwanafunz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Wadau nahtaji mawazo yenu......kwani nogopa kumpa mimba demu Wang
Aksanteee
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] hii kali sanaKama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Mda wa kuitwa baba bado tnakula ujanaKula unapenda lakini hutaki kuitwa baba
Sijskuelewa mkuuKama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Mmmmh siku 6?Akitoka period tuuu ...mlaneni mzigo ndan ya siku sita then kausha ......
Achana na wanafunzi ndugu.
Daaaa nshakuelewaaaaaa mkubwa nitaifanyia kazi vizuri[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mkuu, kumbuka kuwa siku za kuwa bleed zinatofautiana.. Kuna mwingine anatumia siku tatu, na mwingine siku 5 hadi 7Akitoka period tuuu ...mlaneni mzigo ndan ya siku sita then kausha ......
Achana na wanafunzi ndugu.
Mfano ..Leo ndo kamaliza period kwaiyo kuanzia kesho taree 18 mpaka 23 mulane then kausha ...mpaka kuanzia tarehe moja ndo ule tena
Namie nmezungumzia hedhi ya siku 3-4 ....... 5-7 pia kuna tartibu ...sasa mtoa mada ndo hajaeleweka mkuuuu....Mkuu, kumbuka kuwa siku za kuwa bleed zinatofautiana.. Kuna mwingine anatumia siku tatu, na mwingine siku 5 hadi 7
Post sent using JamiiForums mobile app
Vp kwa wale sku znazoyofautiana siku za hatari hubaki siku7 au vpMkuu, kumbuka kuwa siku za kuwa bleed zinatofautiana.. Kuna mwingine anatumia siku tatu, na mwingine siku 5 hadi 7
Post sent using JamiiForums mobile app
Kuchagua mtoto..