Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

e1d5ec90015ddcd5d9772b11aeb888b1.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usiogope kumpa mimba tu , Kuna magonjwa pia . Akimaliza kuvuja mapeema kabisa unaweza Kula mzigo kwa kutumia Condom .

Post sent using JamiiForums mobile app
 
760fbc8cdb2a8b48a624e8f6f5706f49.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikupe elimu kidogo..

Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya demu wako kuingia bleed hadi siku ya 11-16..

Yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 16 ni siku za hatari..

Vipi.. Unataka nikufundishe na jinsi ya kuchagua mtoto!??

Post sent using JamiiForums mobile app
Toa elimu jinsi ya kupata mtoto wa kike na kiume plsss

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Akitoka period tuuu ...mlaneni mzigo ndan ya siku sita then kausha ......

Achana na wanafunzi ndugu.
Haaaaaahaaaaaaaa ww utamchonja mwenzio waweza kuta dem wke anaenda cku 6 ukiplus na hzo 6 ulizosema ww c tyr keshadondokea cku ya 12 hyo? au tufanye anaenda cku 5 ukiplus na 6 anaangukia 11 bdo mtihani huo!

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikupe elimu kidogo..

Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya demu wako kuingia bleed hadi siku ya 11-16..

Yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 16 ni siku za hatari..

Vipi.. Unataka nikufundishe na jinsi ya kuchagua mtoto!??

Post sent using JamiiForums mobile app
Nifundishe mkuu
 
Back
Top Bottom