Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

Ngoja nikupe elimu kidogo..

Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya demu wako kuingia bleed hadi siku ya 11-16..

Yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 16 ni siku za hatari..

Vipi.. Unataka nikufundishe na jinsi ya kuchagua mtoto!??

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Endelea mkuu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Akitoka period tuuu ...mlaneni mzigo ndan ya siku sita then kausha ......

Achana na wanafunzi ndugu.
Mkuu, kumbuka kuwa siku za kuwa bleed zinatofautiana.. Kuna mwingine anatumia siku tatu, na mwingine siku 5 hadi 7

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Endelea mkuu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kuchagua mtoto..

Kwa kawaida kila sperm ina chromosomes za aina mbili.. Yaani X na Y.

Ila yai la mwana mke lenyenyewe lina only X.

Sasa, Y ya mwanaume ikikutana na X ya mwanamke tunapata Dume na X ya mwamaume ikikutana na X ya mwanamke tunapata Jike.

Una chaguaje mtoto?

Sperm Y zina speed sana lakini zina maisha mafupi ( saa 48) wakati sperm X zina speed ndogo sana lakini zina maisha marefu (saa 72).

Baada ya hayo masaaa kupita, sperm hizo hufa na kupoteza uwezo wake wa kusababisha kiini tete.

Itaendelea...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…