Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Mkuu.. Siku za hatari ni hizo hizo.. Unachotakiwa kujua ni kuwa, unaanza kuzihesabia siku ya ngapi baada ya ku bleed.Vp kwa wale sku znazoyofautiana siku za hatari hubaki siku7 au vp
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Toa elimu jinsi ya kupata mtoto wa kike na kiume plsssNgoja nikupe elimu kidogo..
Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya demu wako kuingia bleed hadi siku ya 11-16..
Yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 16 ni siku za hatari..
Vipi.. Unataka nikufundishe na jinsi ya kuchagua mtoto!??
Post sent using JamiiForums mobile app
Wadau nahtaji mawazo yenu......kwani nogopa kumpa mimba demu Wang
Aksanteee
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Anapenda kula nini mkuuKula unapenda lakini hutaki kuitwa baba
Haaaaaahaaaaaaaa ww utamchonja mwenzio waweza kuta dem wke anaenda cku 6 ukiplus na hzo 6 ulizosema ww c tyr keshadondokea cku ya 12 hyo? au tufanye anaenda cku 5 ukiplus na 6 anaangukia 11 bdo mtihani huo!Akitoka period tuuu ...mlaneni mzigo ndan ya siku sita then kausha ......
Achana na wanafunzi ndugu.
Haaaaaaaahaaaaaaaaa km kuna mwanaume anajifanya hazai atembee na hg!Kama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
KitumbuaAnapenda kula nini mkuu
Akaushe kwa muda wa siku Saba tu baada ya kazi iendelee mpaka atakapoingia tena.Akitoka period tuuu ...mlaneni mzigo ndan ya siku sita then kausha ......
Achana na wanafunzi ndugu.
Ningependa niwajue beki tatu (je yakiwa mengi yanaweza kushuka bila mpangilio?)Kama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
100%
ha ha haKama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Ha ha haKama dem wako ni beki 3 nakushauri tumia kinga ...wanakuaga na mayai ya ziada wale
Nifundishe mkuuNgoja nikupe elimu kidogo..
Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya demu wako kuingia bleed hadi siku ya 11-16..
Yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 16 ni siku za hatari..
Vipi.. Unataka nikufundishe na jinsi ya kuchagua mtoto!??
Post sent using JamiiForums mobile app
Nampenda ndo maana nataka nilenge safe dateTumia condom ,kwani hii njia haitabiriki na sio ya kuamini sana usije sababisha mdada wa watu kuwa single mother bureeee
Sent from my X-TIGI_A10 using JamiiForums mobile app