Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?

Nunua bundle moja ya sigara,unawz changanya portsman na sm,gharama ni elfu 21,inayobaki nunua katoni 3 za maji ya uhai,ya ujazo wa robo,nusu na lita nzima,halafu fanya uchuuzi ubungo.
 
ongeza kidogo hiyo haitoshi kununua hata fixed assets 2
 
kilimo si rahisi kama unavyodhani

Wewe nzalendo yaelekea huna experience yoyote juu ya kilimo ndo maana umeishia kubeza pasipo kutoa wayout! nilichomuelezea siyo kibaya na uzuri korogwe/handeni napafahamu fika pengine kuliko wewe! Uko wapi mchango wako ww wenye tija kwa mleta maada?
 
Last edited by a moderator:

Dah hapa mi mwenyewe nimepapenda
 
wewe nzalendo yaelekea huna experience yoyote juu ya kilimo ndo maana umeishia kubeza pasipo kutoa wayout! Nilichomuelezea siyo kibaya na uzuri korogwe/handeni napafahamu fika pengine kuliko wewe! Uko wapi mchango wako ww wenye tija kwa mleta maada?

asante sana
 
Kama upo dar anza biasha ya matunda, kama maembe , machungwa na mapeaz
 
Mimi nikiwa elfu 3o leo ni wikendi. Nachagua timu 10,hapo napata pointi 10_15 natandaza mkeka wangu. Jioni naenda chukua laki3 hadi 4.50! Kama ningekuwa mimi.
Lakini! By c.e.o wa mikekani investments.
hiyo mikeka kula ni probability mkuu
 
Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?

Huo ni mtaji mkubwa sana. Babu kizee, unaweza kufanya biashara ya ugoro au ukauza pipi kifua.
Nalog off.
 

But kuna other costs zimekuw overlooked. Kuna gharama za kula kwa siku, kusafirisha from gari ya mkoa inakoshusha hadi kwenye soko/mteja na sometimes storage as mara nyingi haaina guarantee kuwa unaleta ka kuuza instantly. So kuavoid frustrations, ni vema kutazama hilo pia. Ila ni good thinking.
 

safi sana mkuu, Mungu akujaalie maisha marefu yenye afya na mafanikio zaidi, na endeleza moyo huo wa kusaidia watu wenye uhitaji na walio katika dimbwi la umaskini.
 
mi nafikiri ukianza na kilimo cha mchicha si mbaya sana mkuu
 
Mimi nikiwa elfu 3o leo ni wikendi. Nachagua timu 10,hapo napata pointi 10_15 natandaza mkeka wangu. Jioni naenda chukua laki3 hadi 4.50! Kama ningekuwa mimi.
Lakini! By c.e.o wa mikekani investments.

Acha hizo,ukichemka tu unapoteza mtaji wote,angalia timu timu ndogo zinafungwa kubwa
 
mnajua faida ya wauza kahawa kwny mabirika,wanapata mpaka elf 20 kwa siku,mwezi ni laki 6
 

Mungu akubariki mkuu!
 
kama uko dar wahi alfajiri maeneo ya ubungo mataa upande wa oil com nunua maziwa fresh........yanahitajika sana zama hizi faida ukipata utukumbuke...!!
Hebu funguka kidogo hapa mkuu.

Haya maziwa yanatoka kwa wafugaji wanaoyaleta mjini au ni walanguzi wanaofanya biashara toka mashambani??

Vipi bei zao kwa lita??

Wana supply maziwa mengi au ni kwa kiwango kidogo tu??

Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…