Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

Aise kumbe ndiyo maana hatuwi matajiri;
Just imagine mtu ana elfu thelathini anaweza kuizalisha;
kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
Dada wacha kumvunja nguvu mwenzio tena tema mate chini alaka..
Mkuu fuata ushauri hapo juu usivunjike moyo....Mimi nina historia kubwa nilipita kwenye wakati mgumu na watu kama huyu Mamdenyi nilikutana nao wengi sana lkn sasa Alhamdulillah....
Fuata ushauri hapo juu kwa wenzetu waliotanguli..
 
Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?
kama kweli umedhamilia 30000 ni fedha nyingi sana ,tumia mda wako vizuri sana ,matumimizi yawe ya chini sana ,angalia marafiki unaokuwa nao,toa aibu zot usiangalie mtu,wengi wamekushauri vizuri sana,anza mda huu na kile ulichonacho na mungu atakuinua baada ya mwaka tunaomba ushuhuda wako [MTAJI WA MASKINI NI AFYA OMBA KWA MUNGU]
 
Welcome universal plan b and learn how to make over $50,000 by only 25$
Join the Whatsapp training by clicking that link[emoji116][emoji116][emoji116]

UniversalPlan.B Elimu
 
Kikubwa ni kuwa aache kuwa mvivu, ni lazima ashirikishe mwili wake na akili yake katika kuongeza kipato.
 
kwa sasa hivi na muda huu nipo mwenge

RESPECT
 
Naomba unisaidie tafadhali 0674358557
 
Mimi nikiwa elfu 3o leo ni wikendi. Nachagua timu 10,hapo napata pointi 10_15 natandaza mkeka wangu. Jioni naenda chukua laki3 hadi 4.50! Kama ningekuwa mimi.
Lakini! By c.e.o wa mikekani investments.
UMESOMEKA OVER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…