tare
Member
- Dec 2, 2014
- 96
- 39
Nyie rifaro hamna kitu!!!Kwa Maelezo zaidi juu ya fursa kubwa ya jinsi ya kutumia simu yako KUTENGENEZA pesa, piga namba zinazooneka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie rifaro hamna kitu!!!Kwa Maelezo zaidi juu ya fursa kubwa ya jinsi ya kutumia simu yako KUTENGENEZA pesa, piga namba zinazooneka
Dada wacha kumvunja nguvu mwenzio tena tema mate chini alaka..Aise kumbe ndiyo maana hatuwi matajiri;
Just imagine mtu ana elfu thelathini anaweza kuizalisha;
kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
kama kweli umedhamilia 30000 ni fedha nyingi sana ,tumia mda wako vizuri sana ,matumimizi yawe ya chini sana ,angalia marafiki unaokuwa nao,toa aibu zot usiangalie mtu,wengi wamekushauri vizuri sana,anza mda huu na kile ulichonacho na mungu atakuinua baada ya mwaka tunaomba ushuhuda wako [MTAJI WA MASKINI NI AFYA OMBA KWA MUNGU]Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?
Bei zipoje mkuukama uko dar wahi alfajiri maeneo ya ubungo mataa upande wa oil com nunua maziwa fresh........yanahitajika sana zama hizi faida ukipata utukumbuke...!!
Biashara yangu nilianza na 16000 sahv ninamtaji wa 1m+ ndani ya mwakaAise kumbe ndiyo maana hatuwi matajiri;
Just imagine mtu ana elfu thelathini anaweza kuizalisha;
kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
Kikubwa ni kuwa aache kuwa mvivu, ni lazima ashirikishe mwili wake na akili yake katika kuongeza kipato.hongera sana kwa moyo wa uthubutu, labda nichangie jambo moja hapo! kuna gari inayoenda mikoani. huko gunia la mkaa hununuliwa kwa kati ya shilingi 5,000 mpaka 8,000. ukichanganya na ushuru gunia linafika kwenye around 15,000. gunia hilo huku huuzwa kati ya 25,000 mpaka 30,000.
nikuombe jambo moja. lipia gunia hilo kwa shilingi 15,000 (ikimaanisha gharama za kununua na ushuru) ukiliuza utapata faida ya shilingi 10,000 ama 15,000 kwa gunia. ikiwa na maana kuwa kwa mtaji wa 30,000 utapata magunia mawili ambayo yatakuletea 30,000 faida, Mungu akisaidia kila safari nitakuwa nakuletea magunia matatu ambayo kwako itakuwa shilingi 45,000 bado tena kama Mungumanaleta wepesi kuna uwezekano wa safari tatu mpaka nne kwa mwezi. kamw safari moja faida itakuwa 45,000 x 3 =135,000 kwa mwezi UTAKUWA UMETOKA.
mtaji wa 30,000 leo unaingiza 135,000
NB: 1. NITUMIE NAMBA YAKO KWENYE INBOX AMA HAPA HAPA
2. KAMA MKAA HUTAUZA UTANIRUDISHIA MWENYEWE (kwa matumizi ya nyumbani)
3. Nia ni kukwamuana ktk lindi la umaskini, shida, mateso na karaha
4. utalipia mkaa wako utakapofika kwako (dar)
MUNGU IBARIKI TANZANIA....MUNGU IBARIKI JF
kwa sasa hivi na muda huu nipo mwenge
RESPECTlabda ndugu zangu niseme jambo moja, nimefanya na jina uzoefu japo kidogo wa biashara ya daladala. Kwa wafanyao biashara hiyo kuna tendency ya kukatisha watu tamaa wasijiunge wengine ili waendelee kubaki wao wakikupa ugumu wa kufanya biashara hiyo na si faida yake! Vivyo hivyo hata biashara nyengine akina SANBALATI & TOBIA huwa wengi sana, lakini tusikatishwe tamaa na mitaji yetu midogo YOTE YAWEZEKANA
NB:
MHUSIKA ALIYEOMBA MSAADA AMEPEWA VIGEZO VIKIWEMO KUWA ASILIPE MPAKA MKAA UMEMFIKIA NA ASIPOUZA AUREJESHE ATARUDISHIWA PESA
Risk type of businesshiyo mikeka kula ni probability mkuu
BIG UP. Uko wapi?Biashara yangu nilianza na 16000 sahv ninamtaji wa 1m+ ndani ya mwaka
DarBIG UP. Uko wapi?
Naomba unisaidie tafadhali 0674358557hongera sana kwa moyo wa uthubutu, labda nichangie jambo moja hapo! kuna gari inayoenda mikoani. huko gunia la mkaa hununuliwa kwa kati ya shilingi 5,000 mpaka 8,000. ukichanganya na ushuru gunia linafika kwenye around 15,000. gunia hilo huku huuzwa kati ya 25,000 mpaka 30,000.
nikuombe jambo moja. lipia gunia hilo kwa shilingi 15,000 (ikimaanisha gharama za kununua na ushuru) ukiliuza utapata faida ya shilingi 10,000 ama 15,000 kwa gunia. ikiwa na maana kuwa kwa mtaji wa 30,000 utapata magunia mawili ambayo yatakuletea 30,000 faida, Mungu akisaidia kila safari nitakuwa nakuletea magunia matatu ambayo kwako itakuwa shilingi 45,000 bado tena kama Mungumanaleta wepesi kuna uwezekano wa safari tatu mpaka nne kwa mwezi. kamw safari moja faida itakuwa 45,000 x 3 =135,000 kwa mwezi UTAKUWA UMETOKA.
mtaji wa 30,000 leo unaingiza 135,000
NB: 1. NITUMIE NAMBA YAKO KWENYE INBOX AMA HAPA HAPA
2. KAMA MKAA HUTAUZA UTANIRUDISHIA MWENYEWE (kwa matumizi ya nyumbani)
3. Nia ni kukwamuana ktk lindi la umaskini, shida, mateso na karaha
4. utalipia mkaa wako utakapofika kwako (dar)
MUNGU IBARIKI TANZANIA....MUNGU IBARIKI JF
UMESOMEKA OVERMimi nikiwa elfu 3o leo ni wikendi. Nachagua timu 10,hapo napata pointi 10_15 natandaza mkeka wangu. Jioni naenda chukua laki3 hadi 4.50! Kama ningekuwa mimi.
Lakini! By c.e.o wa mikekani investments.
Watu mnamajaribuWakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?
InapendezaUza matunda ya kukata