Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Yani mikataba wanayosaini viongozi wetu ni sawa na machief wa zamani vs WakoloniKwa akili zenu mlidhani Kuna mabadiliko yoyote? Hata hao waliopunguza Bado wataongeza tu. Sheria inasema kampuni la simu linaruhusiwa kuuza Mb 1 kwa Tsh 2 mpka 9.
Hapo ndio mahali tunaanza kum- miss kichaa wetu alikuwa haongei Mara mbili....Rest in eternal peace kipenzi changu.Wakipigwa faini, watakaa hssawa. Sijui kwa nini hadi sasa hawajafanyiwa hivyo? Labda mamlaka husika wanasubiri faini iwe kubwa ndipo wawapige.
Ninachokushangaa mkuu ni kwamba, unatoa hoja kama vile wewe ni mwanafunzi anayehudumiwa vifurushi kwa kujaziwa kabisa ikiwa kazi yake ni kuchat tu!Habari za Asubuhi wakuu, natumaini mumeamka salama na wengine mshaanza kupambana tena kwa siku nyingine hii ya leo ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki.
Sasa iko hivi tangu gharama za vifurushi za mitandao ya simu zipande, huu mtandao wa Vodacom naona bado mambo ni yale yale, yaani hakuna walichofanya kama vile hawajui kinachoendelea.
Yaani wameacha zile bei mpya za vifurushi mpaka wakati huu, ikiwa nasiki kuna baadhi ya mitandao wao wamesharudisha bei zile za mwanzo ambazo zilikuwa ni nafuu zaidi kuliko hizi za sasa hivi.
Sasa wakuu labda kama kuna mwenye kujua hizi mambo zitakaa sawa kwa wakati gani, au inabidi nizoee tu kama hawana mpango wa kurekebisha hivyo vifurushi.
Uzi tayari.
Bado. Mitandao yote karibu inacheza wimbo mmoja.Voda na tigo bado wanayuchezea akili zetu. Airtel bado sijajua ka washarudisha
Nipo halotel kupewa laini tu gb4 kwa siku tatu na dk 60 mitandao yote per wiki...Habari za Asubuhi wakuu, natumaini mumeamka salama na wengine mshaanza kupambana tena kwa siku nyingine hii ya leo ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki.
Sasa iko hivi tangu gharama za vifurushi za mitandao ya simu zipande, huu mtandao wa Vodacom naona bado mambo ni yale yale, yaani hakuna walichofanya kama vile hawajui kinachoendelea.
Yaani wameacha zile bei mpya za vifurushi mpaka wakati huu, ikiwa nasiki kuna baadhi ya mitandao wao wamesharudisha bei zile za mwanzo ambazo zilikuwa ni nafuu zaidi kuliko hizi za sasa hivi.
Sasa wakuu labda kama kuna mwenye kujua hizi mambo zitakaa sawa kwa wakati gani, au inabidi nizoee tu kama hawana mpango wa kurekebisha hivyo vifurushi.
Uzi tayari.
Gb1 kwa siku tatu imerudiWe mgeni voda? Mbona vifurushi vimerudi kama vilivyokuwa awali!
Kabla ya mabadiliko ya bei na ujazo wa vifurushi gharama za vifurushi vya voda zilikiwa juu mno so walichofanya waliongeza bei kidogo na kupunguza ujazo na kilichofanyika baada ya tamko la serikali wamerudisha vifurushi vya awali (ambavyo navyo ni ghali sana) na walichopunguza ni vifurishi vya "ya kwako tu" ambavyo si rasmi.
Kwa bei gani?Gb1 kwa siku tatu imerudi
hata hlotel wamegoma. Ndungulile afukuzwe, he is rubbish!Habari za Asubuhi wakuu, natumaini mumeamka salama na wengine mshaanza kupambana tena kwa siku nyingine hii ya leo ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki.
Sasa iko hivi tangu gharama za vifurushi za mitandao ya simu zipande, huu mtandao wa Vodacom naona bado mambo ni yale yale, yaani hakuna walichofanya kama vile hawajui kinachoendelea.
Yaani wameacha zile bei mpya za vifurushi mpaka wakati huu, ikiwa nasiki kuna baadhi ya mitandao wao wamesharudisha bei zile za mwanzo ambazo zilikuwa ni nafuu zaidi kuliko hizi za sasa hivi.
Sasa wakuu labda kama kuna mwenye kujua hizi mambo zitakaa sawa kwa wakati gani, au inabidi nizoee tu kama hawana mpango wa kurekebisha hivyo vifurushi.
Uzi tayari.
halotel mbona nao wamegona. Nina line ya Royal, 10,000 hupati 12 GB, 1000 minutes na 500 SMS kama zamaniMi laini yao nimeitia kabatini nimehamia Halotel na TTCL.
halotel Royal hawajarudisha kama zamani. Wezi wakubwaHalotel na TTCL ndio mpango mzima
BukuKwa bei gani?
Me naona ni mb420 kwa hiyo sh 1000 mkuu.Buku