Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mtu wa bara na mzenji ni kitu kimoja, asili yao ni huku. Karume ni mnyasa kwao ni mkoa wa Ruvuma.Sio tu kwamba anawza, bali ishatokea na ndivyo ilivyo. Angalia:-
1. Aboud Jumbe Mwinyi
2. Ali Hassan Mwinyi
3. Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi.
Wengine ni wanyamwezi, na wamakonde ni wengi. Siasa zetu za maeneo za kijiografia ndio zinazotudanganya kwa kutazama kama mtu wa bara au wa visiwani.
Ni dhambi ya ubaguzi na ubaya wake huwa inakwenda ikimtafuna mtu na vizazi vyake vyote.