Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA....hayupo hayupo hayupo.....
Tanganyika ilikufa 1964.....
Ilikufa kifo kizuri na cha heshima kubwa kwa ajili ya mustakabali mwema wa miaka bilioni inayokuja.....
Ardhi ile tukufu ikaungana na Zanzibar kuzidi kuuinua utukufu wake....pande la ardhi hilo liwe bora na thamani zaidi ya hapo mwanzo.....
#Tanzania kwanza