The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa mbona havai Pete... AU BASINikutoe waswasi tu, Ester kahumbi ameolewa na ana mme wa ndoa ina miaka 7, mmewe anaitwa Ben makori, na wanapendana sana
Duu ππππAcha kutamani mke wa mtu...tazama siku mchuchu aliyowekwa ndani
Kaa mbali muraaHuyu mdada wa Kikenya Ameolewa au? Maana namuelewa Sana kuanzia sura, mguu hadi kule eneo pendwa la Mitetemo..
Mwenye taarifa zake tafadhari
Yaani mdada mzuri kama huyo anaolewa na jamaa sura ngumu hivyo?Kumbe huna hata demu Chawa from Ludewa village πππ
View attachment 2328393
Sasa we leta shobo uliwe kiboga na mwamba huyoπππ
Huyu mdada wa Kikenya Ameolewa au? Maana namuelewa Sana kuanzia sura, mguu hadi kule eneo pendwa la Mitetemo..
Mwenye taarifa zake tafadhari
Nikutoe waswasi tu, Ester Kahumbi ameolewa na ana mme wa ndoa ina miaka 7, mmewe anaitwa Ben Makori, na wanapendana sana
Nyuma ana tufaa la kutosha mzeeJana nimemwona kwa nyuma wakati anahojiana na salim kikeke ile taarifa ya habari ya saa tatu usiku kwa kweli mashalah!
Hongera sana bwana chawaYaani mdada mzuri kama huyo anaolewa na jamaa sura ngumu hivyo?
Aisee nyie Wazuri mna hasara,itakuaje akipata mtoto wa kike harafu akachukua sura ya baba yake,atamuoa yeye?
Ukiwa mzuri chagua mwanaume mzuri kama Mimi Ili upate watoto visu..
We taahira mimi Nina mke na watoto ila mwanaume wa ukweli unakuaje na mke mmja? Mimi sio rojo rojo wa Dar msiojiweza.
Oyaaa umemzimaa moto mwenzakoo[emoji23][emoji23]Nikutoe waswasi tu, Ester Kahumbi ameolewa na ana mme wa ndoa ina miaka 7, mmewe anaitwa Ben Makori, na wanapendana sana
Kuna mashalaa ya kuzidi na Bonge moja la mguu matata lazima udate.Hebu wekeni Picha za huko mnakosema, isije ikawa ni kama Irene Uwoya tu