Hivi Mtangazaji wa BBC Ester Kihumbi Ameolewa? Namuelewa Sana

Hahaha we mzee Acha njaaa(joke)

Aise kweli yuko vzr

Ova
 
Yaani mdada mzuri kama huyo anaolewa na jamaa sura ngumu hivyo?

Aisee nyie Wazuri mna hasara,itakuaje akipata mtoto wa kike harafu akachukua sura ya baba yake,atamuoa yeye?

Ukiwa mzuri chagua mwanaume mzuri kama Mimi Ili upate watoto visu..

We taahira mimi Nina mke na watoto ila mwanaume wa ukweli unakuaje na mke mmja? Mimi sio rojo rojo wa Dar msiojiweza.
Mwamamume ni HELA wewe kenge
 
😳 makubwa! Yamekuwa hayo🤔
 
Ila Bongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] si hami licha ya Mwigulu kutaka nihamie Burundi.
 
Yaani mdada mzuri kama huyo anaolewa na jamaa sura ngumu hivyo?

Aisee nyie Wazuri mna hasara,itakuaje akipata mtoto wa kike harafu akachukua sura ya baba yake,atamuoa yeye?

Ukiwa mzuri chagua mwanaume mzuri kama Mimi Ili upate watoto visu..

We taahira mimi Nina mke na watoto ila mwanaume wa ukweli unakuaje na mke mmja? Mimi sio rojo rojo wa Dar msiojiweza.
☹☹☹kwel wanaume tumebaki wachache sana ya unajisifia uzur shoga
 
Nikutoe waswasi tu, Ester Kahumbi ameolewa na ana mme wa ndoa ina miaka 7, mmewe anaitwa Ben Makori, na wanapendana sana
Mkuu na wewe umekuwa mpana sana!!!

Kwani alitaka kujua na status ya mahusiano yake ikoje?lengo ni kujua ameolewa?
 
Mimi yule Anna soi sijui yule wa Kenya bibisii yaani nampenda hadi basi.
 
Back
Top Bottom