Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwaga magari yetu raia yananasimamishwa kupisha msafara wa mtukufu rais kabla hata ya mtukufu rais mwenyewe hajaingia bafuni.Hello JF,
Kuna haka katabia ka sisi Wabongo kutokuwa wakweli pindi tunapokuwa na miadi na wenzetu, mimi leo yamenikuta.
Kuna jamaa nilikuwa na miadi ya kukutana naye asubuhi ya leo saa moja kamili, sasa mimi nimefika eneo la tukio on time, lakini jamaa yeye mpaka sasa hajafika na kila nikimpigia anasema anafika muda si mrefu.
Sasa nimetafakari nikaona niulize humu: Hivi Mtanzania akikuambia anafika muda si mrefu, huwa anamaanisha yuko umbali kiasi gani?
Boss wako je?Utaratibu wangu nikifika eneo la tukio namsubiri mtu dakika 15 tu, baada ya hapo naendelea na mishe zangu
Bosi ni mimi mwenyeweBoss wako je?