Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Umetisha sana, yote uliyosema ndo alisema bingwa yule.Maana yake mtoto alianza kuonesha dalili za kuchoka kabla ya kuzaliwa.
Kuchoka hutokana na uchungu wa muda mrefu, kitovu(umbilical cord) kujizungushia shingoni mwa mtoto, na sababu nyingine nyingi( za kitaalamu)
NDIO MAANA MAMA MJAMZITO ANASHAURIWA AWAHI KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MARA APATAPO UCHUNGU, ni pamoja na kufanyiwa monitoring mapema so as in case shida yoyote ikijitokeza aweze kusaidiwa(eidha yeye au mtoto)