Umetisha sana, yote uliyosema ndo alisema bingwa yule.Maana yake mtoto alianza kuonesha dalili za kuchoka kabla ya kuzaliwa.
Kuchoka hutokana na uchungu wa muda mrefu, kitovu(umbilical cord) kujizungushia shingoni mwa mtoto, na sababu nyingine nyingi( za kitaalamu)
NDIO MAANA MAMA MJAMZITO ANASHAURIWA AWAHI KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MARA APATAPO UCHUNGU, ni pamoja na kufanyiwa monitoring mapema so as in case shida yoyote ikijitokeza aweze kusaidiwa(eidha yeye au mtoto)
Kichwa Kichafu amekujibu verma kwenye perpective moja wapo. Perspective ya pili ni kwamba, ili haja itokee, chakula ...
Anachokula/anachomeza mama mjamzito kinaenda kwenye tumbo la chakula.MKUU KUNA WANAWAKE WANA TABIA YA KUMEZA MANII ZA MWANAUME KWENYE MAHABAAAAA
NINI ATHARI ZAKE KWA MAMA MJAMZITO esp. Kwa mtoto
Anachokula/anachomeza mama mjamzito kinaenda kwenye tumbo la chakula.