Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
Mtoto kama huyu alitakiwa awe shule anasoma ikifika saa nne anaenda kunywa uji na wenzake. Lakini ona mambo anayofanya, kweli ana wazazi huyu mtoto?!

Au ndo wale mnasemaga watoto walioshindikana!! Hivi kuna mzazi kweli anamshindwa mwanae?! Nyie watu kama mnajua hamuwezi kulea bora msizae.

 
Sio mwanao,sio ndugu yako..........hutakaa uijue faida yake,kama nasisi tusivyojua faida yako hapa Duniani.
 
ni msanii huyo.. afu hizo ni temporary tattoo sio za moja kwa moja...
 
Kwa sababu anafanya dhambi tofauti na wewe haimaanishi wewe ni msafi sana.

Point hapa ni kwamba wote tunafanya dhambi ila kwa namna tofauti suala ni yeye anaweza mzinifu..wewe muongo na mwizi.

We all sinners! But we sin differently. Don't judge!

Fortunately, nimekapenda sana kalivyo tu...she seems to be sweet and lovely..kama kamo humu kanipm hima maana Crdb wamepunguza riba za mkopo.

Wink!
 
mtoa mada uenda huyo mtoto ana faida kubwa kwa wazazi kuliko hata wewe kwa wazazi wako. Nani alijua kuwa Masogange amemjengea nyumba baba yake mzazi na pia alikuwa ndio mtoto msaada mkubwa kwa familia yake kuliko wote? Usimhukumu mtu husiyemjua
 
Mkuu kuongea kiswahili moja kwa moja bila mseto huwezi?
 
Mkuu kuongea kiswahili moja kwa moja bila mseto huwezi?
Siwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.

Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.

But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.
 
Basi ongea kingereza kitupu itapendeza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…