Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Hautanielewa mzawa maana kiingereza chako bado ni hafifu sana. Maana kama hapa nimeswitch code tu umemangamanga na kulalamika...vipi nikiamua kucundulaligates the whole English vocabularies with Cagonokasibility? [emoji23] [emoji23]
Ongea tu nina mkalimani wangu.
 
Bila hao hakuna raha duniani
Ni kweli. Ila wa kwangu sitakubali awe hivyo akiwa na umri mdogo chini ya miaka 20. Yaani nimtandika dunia nzima ijue na jela nitampeleka. Akiwa above 20 nitaishia tu kumshauri najua atanishinda tu.
Ila jamani hapa wa kulaumiwa ni wazazi. Asikwambie mtu malezi yana mchango mkubwa sana kwenye ukuaji wa mtoto. Kuna jinsi ukimlea hataweza kufanya hivyo. All in all ni kuomba Mungu tu ili usipate mtoto pasua kichwa.
 
Umejuaje huyo ni mtoto vidole vimekomaaa hivo kama anaosha masefuria ya Vingunguti
 
hivi kuna mzazi mwenye akili timamu anaweza muona mwanae yuko uchi hivyo akafurahia kama hawa wajinga wengine huku jukwaani
Kwanza tukubaliane kuwa malezi yanachangamoto kubwa..!! Binafsi nilikuwa na mtazamo km huu wa kwako kabla sijapata watoto. Aisee,nna kijana tena wa kiume alivyonisumbua ni afadhali huyu unayemuona hapo angekuwa ndo mwanangu..!! Bahati nzuri ni kwamba,huyu pesa anazofanyia hayo yote ni zake mwenyewe na nna amini hata wazazi wake(hasa mama anawapa).
Km huna mtoto wa miaka 18+ usiwahukumu wazazi wa huyu binti!
 
wazazi atakua nao. mama ake si ndio alitakaga kumfungulia diamond kesi ya ubakaji baada ya huyo binti kulala madale.

huyu msichana anaona ni ufahari na hayo mauchafu mwisho wa siku atakuja kukua baadae na akakosa opportunities za kueleweka kwa huo uchafu. shida ya wasichana siku hizi wana focus zaid na maisha ya instagram
 
Back
Top Bottom