Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Mtoto wa namna hii ni muhimu kumuombea tu
 
haka katoto baba yake ni polisi hapo morogoro...naskia ndo kanalisha familia...kweli papuchi na smartphone kwa mwanamke hata wa drs la 7 ni mtaji mkubwa kuliko ww mwenye degree 2 unasubiri mshshara.
hahaha "" kumbe ni mtoto wa 7 -- 6 daaahh yule Jamaa itakuwa analaana "" maana alikuwa anawatesa mno RAIA"" itakuwa albadir yao inafanya kazi aisee"" MZEE Watoto wke wote wamekuwa machangu/ wauza papa nguru
 
Kanaitwa nani haka kadogo?
Kana mdomo wa kushika mic, hizo lips kakijua kuzitumia unaweza kuhonga nyumba ya urithi.

Naombeni mawasiliano yake. Crdb wameshusha riba niangalie jinsi ya kukawezesha.
Ha hahah hahaa....hpo kwenye crdb daahh
 
Tatizo Mnapenda kufuatilia maisha ya watu na kutaka waishi kama mnavyotaka, Kila mtu na Lifestyle yake Acheni majungu na Mapovu yasiyoeleweka
 
Mbona kanaonekana kakubwa ila kamedumaa
 
Ni nani huyo?
Ajifunze kuvaa wigi basi, analianzia usoni
 
Watoto wangu hawawezi kufanya ujinga kama huo anao fanya huyo kama ndio malezi mnayo walea mtajiju

Kweli kua uone. Nadhani kama una mtoto huenda amekwisha kuliko huyu tuliye oneshwa hapa. Mtoto ni yule unayemvika nepi akiisha kuivaa chupi tu si mtoto tena. Hata ungemuwekea remote hachungiki.
Watoto wengi wa shule, huenda shule na nguo 2. Usione kaweka bag mgongoni ukadhani kajaza madaftari. Siku unavamia bag waweza kufa bp.
Yawezekana wa kwako yuko boarding. Huyo ndo kabisa; Ka si shoga ni msagwaji. Mwone anavyojifanya malaika udhani ni mpole. Siku ya siku utakufa kwa mshituko. Kwetu wanasema; Tema mate.
 
Back
Top Bottom