nkasoukumu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 894
- 412
Anatunza wazazi huyuSio mwanao,sio ndugu yako..........hutakaa uijue faida yake,kama nasisi tusivyojua faida yako hapa Duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatunza wazazi huyuSio mwanao,sio ndugu yako..........hutakaa uijue faida yake,kama nasisi tusivyojua faida yako hapa Duniani.
Msaada kwa kuuza makalio,hata mwanao akiwa jambazi basi kwa vile kakujengea nyumba basi aachwe tu asisemwe kwa tabia zake mbaya,hakika huu ni uzao wa nyokamtoa mada uenda huyo mtoto ana faida kubwa kwa wazazi kuliko hata wewe kwa wazazi wako. Nani alijua kuwa Masogange amemjengea nyumba baba yake mzazi na pia alikuwa ndio mtoto msaada mkubwa kwa familia yake kuliko wote? Usimhukumu mtu husiyemjua
Ha ha ha, JF, majibu mubashara kabisaSiwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.
Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.
But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.
Umeandka nn sasa hapabwana yesu amekuja kwa ajili ya viumbe kama hao
wewe ambaye unamwacha mzazi wako anakufa njaa huku ukipeta viwanja mjini huna thamani, ni bora ya mchezesha makalioMsaada kwa kuuza makalio,hata mwanao akiwa jambazi basi kwa vile kakujengea nyumba basi aachwe tu asisemwe kwa tabia zake mbaya,hakika huu ni uzao wa nyoka
Wewe ni mhaya?Siwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.
Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.
But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.
Sawa naona umetetea na Avatar yako pia.Sio mwanao,sio ndugu yako..........hutakaa uijue faida yake,kama nasisi tusivyojua faida yako hapa Duniani.
Ndio proudly mhaya wa kamachumu.Wewe ni mhaya?
Eti eeee, inawezekana akawa mtu mzima ila amedumaa. Mungu atusaidie.We shida yako nini mzee,na nani amekuambia kama ni mtoto.
Sometimes Mnapoteza muda mambo yasiyowahusu. Yani hadi unadownload picha zake unakuja huku kumfungulia thread.
Wakati hapohapo unamtamani.