Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

mtoa mada uenda huyo mtoto ana faida kubwa kwa wazazi kuliko hata wewe kwa wazazi wako. Nani alijua kuwa Masogange amemjengea nyumba baba yake mzazi na pia alikuwa ndio mtoto msaada mkubwa kwa familia yake kuliko wote? Usimhukumu mtu husiyemjua
Msaada kwa kuuza makalio,hata mwanao akiwa jambazi basi kwa vile kakujengea nyumba basi aachwe tu asisemwe kwa tabia zake mbaya,hakika huu ni uzao wa nyoka
 
Kazuri lakini mwenye contact ani pm nataka niuze ng'ombe nije mjini kutoa vumbi
 
Siwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.

Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.

But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.
Ha ha ha, JF, majibu mubashara kabisa
 
Mkuu ongeza picha tafadhali fanya kuweka na namb zake za simu nimpe ushauri hakika itapendeza sana
 
Msaada kwa kuuza makalio,hata mwanao akiwa jambazi basi kwa vile kakujengea nyumba basi aachwe tu asisemwe kwa tabia zake mbaya,hakika huu ni uzao wa nyoka
wewe ambaye unamwacha mzazi wako anakufa njaa huku ukipeta viwanja mjini huna thamani, ni bora ya mchezesha makalio
 
Siwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.

Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.

But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.
Wewe ni mhaya?
 
Hata Buyonsi alianza hivyo hivyo, mwacheni dada awakilishe Masasi.
 
We shida yako nini mzee,na nani amekuambia kama ni mtoto.
Sometimes Mnapoteza muda mambo yasiyowahusu. Yani hadi unadownload picha zake unakuja huku kumfungulia thread.
Wakati hapohapo unamtamani.
 
We shida yako nini mzee,na nani amekuambia kama ni mtoto.
Sometimes Mnapoteza muda mambo yasiyowahusu. Yani hadi unadownload picha zake unakuja huku kumfungulia thread.
Wakati hapohapo unamtamani.
Eti eeee, inawezekana akawa mtu mzima ila amedumaa. Mungu atusaidie.
 
Its all about perceptions and interpretations...unaweza kuta huyo ni bora kuliko unaemdhania wewe...katika maisha its all about choices..wengine hawana tattoo mwilini ila mioyo yao ina tattoos za kutisha. Binafsi huwa siwajudge watu kwa muonekano sababu jamii na sisi kama wanajamii huwa tunachangia sana kuwafanya wawe hivyo ila sababu ya unafiki na kupenda kuonekana wasafi huwa tunaruka kimanga linapokuja suala zima la wajibu na role tuliyo au tunayoplay katika jamii...bora ya hawa walioamua kudisplay their real self kuliko wanafiki wanaojificha kwa ngozi ya kondoo ilhali ndani mwao ni chui na nyoka wenye sumu kali!
 
Back
Top Bottom