Hiyo hel hakuna kazi nyingine mbali na hiyo rough inaweza fanya?Wakuu, mimi nina swali.
Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba?
Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december.
Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya hiyo shughuli?
Maana kwani inaathiriwa na mvua au jua ile?
Wakuu, mimi nina swali.
Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba?
Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december.
Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya hiyo shughuli?
Maana kwani inaathiriwa na mvua au jua ile?
Mkuu sisi watu tunaopambana mtaani ela inakuja bila taarifa na kuondoka bila taarifa. So ukiipata ni afadhali ifanye kituHaina shida, ila unakimbilia wapi?
Kama ipo kwa kitu kinachohusiana na ujenzi niambie mkuuHiyo hel hakuna kazi nyingine mbali na hiyo rough inaweza fanya?
Ndio mkuu baada ya kujenga pagala. Je, naw3za mwaka jamvi kabla ya kuezekaUnamaanisha kumwaga jamvi?
Umechelewa sana, kumwaga jamvi ni hatua ya pili ikitanguliwa na kujenga msingi ndo inafuata kujenga boma.Ndio mkuu baada ya kujenga pagala. Je, naw3za mwaka jamvi kabla ya kuezeka
Unaweza kutengeneza rough floor mkuu bila ya kuezeka.Nilifanya hivi pia wakati nasubiri bati zangu niloagiza kutoka China.Changamoto kubwa ikikaa mda mrefu sana na jua likiwa kali sana inapasuka. Japo haina shida sana ikipasuka kwan utakuja weka tiles baadae.Wakuu, mimi nina swali.
Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba?
Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december.
Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya hiyo shughuli?
Maana kwani inaathiriwa na mvua au jua ile?
Basi nadhani hatujaelewana. Hayo maswala ya kumwaga zenge baada ya msingi huwa ni wale wanaojiweza. Sisi huwa tunajenga msingi, tunafunga mkanda tunatia kifusi, tunajenga pagala kisha, kuezeka, then ndio kupanga maweza na kumwaga rough floor. Sasa nazungumzia hii ya kupanga mawe na kumwaga rough floor mkuu.Umechelewa sana, kumwaga jamvi ni hatua ya pili ikitanguliwa na kujenga msingi ndo inafuata kujenga boma.
Shukrani mkuu.Unaweza kutengeneza rough floor mkuu bila ya kuezeka.Nilifanya hivi pia wakati nasubiri bati zangu niloagiza kutoka China.Changamoto kubwa ikikaa mda mrefu sana na jua likiwa kali sana inapasuka. Japo haina shida sana ikipasuka kwan utakuja weka tiles baadae.
Kama jamvi fresh halina tatizo tena ilibidi iwe baada tu ya msingi.Ndio mkuu baada ya kujenga pagala. Je, naw3za mwaka jamvi kabla ya kuezeka
Hiyo pesa nenda kawekeze kwenye duka wanalouza bati ili ifikapo hiyo november ukachukue bati zako kiroho safi.Mkuu sisi watu tunaopambana mtaani ela inakuja bila taarifa na kuondoka bila taarifa. So ukiipata ni afadhali ifanye kitu
Ela ya bati ipo mkuu ila kuipata mpaka november au december. So ndio maana nawaza nazopata hapa kati nizifanyie jamboHiyo pesa nenda kawekeze kwenye duka wanalouza bati ili ifikapo hiyo november ukachukue bati zako kiroho safi.
Kuezeka ni mbao mkuu tena toka samo Inshallahmwaga rafu lakini mziki wa kuezeka uko palepele labda uwezeke na mrunda badala ya mbao
Mkuu si kwamba nafanya hivyo kwa kukosa ela ya kuezeka hapana. Ela ya kuezeka ipo ila ntaipata november au december so hapa kati nataka kazi iwe inaendelea ndio maana naulizaUkipata hardware waaminifu unaweza kuiweka hiyo hela ukaanza kukusanya bati mdogo mdogo
SahihiMkuu sisi watu tunaopambana mtaani ela inakuja bila taarifa na kuondoka bila taarifa. So ukiipata ni afadhali ifanye kitu