Hivi Mtu anaweza kuwa mfuasi wa CCM akawa anajitambua?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua.

Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm


Hii nchi inahitaji Miaka 100 ili kukombolewa kifikra.
 
Swali gumu sana, ila kumbuka watanzania wengi wana matatizo ya afya ya akili
 
we mwenyewe mbona hujitambui wakati siyo mwana-CCM. we jikomboe na hayo matatizo yako nchi yetu haina shida ni mfano wa kuigwa Africa. we ndiyo una matatizo unahitaji ukombozi. Hakuna nchi nzuri km Tanzania tembea jionee. Mtu una stress zako pengine kuachwa na mwanaume wako unakuja kubadili gia huku kuwa nchi ina matatizo badala yako wewe.
 
Nyerere alikua muasisi wa CCM.
 
KUFUPISHA STORY WATANZANIA WENGI HAWAJITAMBUI NA KWA KUA WATANZANIA WENGI NI CCM SINA PINGAMIZI JUU YAKO
 
Wote wamepotea
 
Ndiyo. Kwa mfano Nape, January na Suphian Juma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…