Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

Heee una laana wewe inajuaje ka shemejiyo anapenda hizo mambo kama sio unampokosoa aisee ukatubu kwa mkeo
 
Hahahahah... zama tu kaka! Hata kama shemeji naye anataka endeleza libeneke mkubwa!
 
Mnavyomtania Mungu.......binadamu

Wadau shalom

Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa

Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi mkubwa Wa jambo hilo, nimejaribu kumuonya Mara kadhaa kwamba lisifanyike lakini analazimisha, sijui nae amefundishwa na nani

Watu Wa mungu naombeni ufafanuzi je jambo hili ni dhambi au la? Au ni mm ndio nakosea?
 
Kula hizo Nyau Reveland. Usipokula wewe kuna mabandidu watakula mpaka Tigo. Mapenzi ni uchafu siku zote tambua Hilo. Mimi kwa MKE wangu namla kokote ili mradi ni starehe yake. Maana usipomla wewe kuna Jitu litakula tena bila kunawa.
 
Mkuu Mimi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wazama Chumvini Wote Tanzania.. Nina Uzoefu Usiopungua Miaka Kumi...
 
Wadau shalom

Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa

Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi mkubwa Wa jambo hilo, nimejaribu kumuonya Mara kadhaa kwamba lisifanyike lakini analazimisha, sijui nae amefundishwa na nani

Watu Wa mungu naombeni ufafanuzi je jambo hili ni dhambi au la? Au ni mm ndio nakosea?

Wewe umejuaje km mdogo wa wife wako anapenda huo mchezo?
 
Hayo shemegi yako umeyajuaje? Kabla hatujapeleka swali lako kwa watu wa Mungu
 
Wadau shalom

Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa

Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi mkubwa Wa jambo hilo, nimejaribu kumuonya Mara kadhaa kwamba lisifanyike lakini analazimisha, sijui nae amefundishwa na nani

Watu Wa mungu naombeni ufafanuzi je jambo hili ni dhambi au la? Au ni mm ndio nakosea?

Mkuu mbona tena unatuchanganya?? Ni miomi tu sikuelewi au? Kwanza unasema wife anatamani uzame, na unasema hata shemeji (mdogo mtu) anakuzamisha.
Wewe ni Shetani mkubwa kabisa. Unakula mtu na mdogo wake? Halafu unauliza ni ipi dhambi; kuzama chumvini au kula mtu na mdogo wake? Jaribu kujiuliza, ungelikuwa na mdogo wako, ungemruhusu amzamie mkeo ati kwa kuwa ni nduguyo??
Acha ufirauni huo kwanza ndo uje uliza vya chumvini
 
Back
Top Bottom