ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,351
Hebu karibu kumuuliza babako
mzazi wangu ameingiaje hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu karibu kumuuliza babako
Mtumishi hujambo? Umeelewa? Mwambie bwa'shemeji akupe haki yako...ni haki yako!!
Wadau shalom
Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa
Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi mkubwa Wa jambo hilo, nimejaribu kumuonya Mara kadhaa kwamba lisifanyike lakini analazimisha, sijui nae amefundishwa na nani
Watu Wa mungu naombeni ufafanuzi je jambo hili ni dhambi au la? Au ni mm ndio nakosea?
Kama hujazaliwa mara ya pili huwezi! Afu unakulaje wote?Wadau shalom

Achana nae kabisa utapata fangasi za mdomo bure tuWakuu habari....!! Ninasikitishwa na kasi ya mabadiliko yetu vijana wa Afrika kwa kuiga mila za ulaya.....
Kuna binti nampenda sana ila ananilazimisha "kupiga deki" na mimi naona siwezi kutokana na kinyaa..Ingawa hakuna andiko lolote la MUNGU linalokataza waziwazi ......sio mila na desturi ya mwafrika na ninshindwa kwakweli kutimiza matakwa ya mpenzi wangu na anaelekea kuniacha nisipopiga "deki" kwamba simpendi..... Ushauri tafadhali.......
Cc: Zero IQ