Na Mimi nawangoja hawa wabobezi!!Hahah! hapa ngoja tu niwasubiri wanasaikolojia..
Mkuu, ukumbuke hakuulizwa, na pengine wengi wa waliokuwepo kwenye hadhira hiyo hawakufahamu hayo mabifu yaoIle ndio ilikuwa nafasi pekee ya kukutana na hadhira, unafikiri angeitisha press conference angeweza audience wa kutosha kiasi kile?
Hata mimi nilijiuliza...Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile
Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana
Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Hahahahaa!!Account yako ni mpyaa, inaonekana una bonge la mada nzito
mkuu ile ilikuwa ni 'one off chance' lazima awe 'ultimate opportunist'.Mkuu, ukumbuke hakuulizwa, na pengine wengi wa waliokuwepo kwenye hadhira hiyo hawakufahamu hayo mabifu yao
Mkuu, nilipokuona wewe hapa, nikadhani umekuja na jibu la hii, lakini naona umeamua ubaki nalo, haya bhanaPoleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!
Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui
Nilimshangaa sana yule mtuNawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile
Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana
Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Angehoji pia Nani aliyemtoa kucha Dr.ulimboka siyo?Poleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!
Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui
Kila mwenye akili timamu alishangaa Sana,hivi kwa nn bado anapenda popularity wakati aliharibu vya kutoshaaaNilimshangaa sana yule mtu
Mara o nitumeni, msiponiita na kunituma naendelea na mambo yangu. Anajiona yy ndiyo anafaa sana kutumwa!!
Aliamua kujitetea kiana. Lakini wenye akili tulimgundua unafiki wake. Ni miongoni mwa kipande cha mti 24
Mkuu,kumbe na wewe hukuelewa kama Mimi eeeh!!🚶🚶Eti watoto wetu wamekuwa pamoja
Pia angehoji alielipua bomu na kuua mwandishi wa chanel ten kule iringa, na pia angehoji alielipua bomu kwenye mkutano wa chadema kule arusha, na pia angehoji alie ng'oa kucha za ulimbokaPoleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!
Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui