Hivi mtu kama Steve Nyerere anaongelea masuala ya nchi kama nani?

Tangia Shilole na Irene Uwoya wagombee ubunge viti maalum kwa chama cha mbogamboga, niliacha kukiamini.

Hicho chama chao kiko na uwezo mkubwa sana wa kujitoa ufahamu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu jamaaa sijawah kumuelewa hata nusu
 
Kwani we nani hadi uwasemee watanzania wote!?
Kama humtaki ni wewe na wenye msimamo kama wako.
 
Sijawahi kuona mhehe mwenye kiherehere Kama Cha huyu jamaa, nimeishi nao wahehe huwa watulivu Ila huyu kiumbe ni kama nguchiro aliyechangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…