Hivi mtu kuwa Cream inamaanisha kuwa na First Class au Upper Second?

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
302
Reaction score
200
Hi, wana Jamii Forum

Natumainia wengi wetu tunaendelea na jukumu hili la ujengaji wa taifa. Kuna lugha zimekuwa zikitumika sana humu kwenye forum hii kwamba wale GRADUATE wenye first and upper second ndio ma-CREAM.

Lakini cha ajabu hawa watu wengi wao thinking capacity yao kimaisha ni duni sana kutokana na wengine kutopata hizo classes kihalali...ie. Kuna chuo cha engineering ambacho nasoma sasa wengi wenye hizo (huku tunaita GPA) kubwa wanatumia juche..ndani ya mitihani... Sasa hii CREAM inatoka wapi ambayo wengi wanajisifia humu.

Then wengine hawawezi kideliver kile ambacho kiko kwenye gpa, sasa ukirimu uko wapi? mfano wengine ndio ma-lecture huku vyuoni but ni mbumbumbu kinoma afadhali yule mwenye PASS.
 
First class mi naona ni mkao tu ila ukiwaweka wote kati ya first na upper second kwenye delivery wanaweza kuwa sawa!!!!!!

Ila kwa kazi za vitendo au zenye matokeo ya kuonekana kama engineering waweza kuta mtu gpa kubwa ila akawa sio mzuri sana site na mwenye gpa ndogo akawa poa tu site!!!!

Niliomaliza nao mimi chuo kwa mfano wakati tunafanya masters walikuwa na gpa lower second na upper za undergrad lakini walikuwa wazuri sana tu hata kwenye seminar leading/tutorials/presentations lakini hawakuweza kubaki chuo na kufundisha kuliko waliobakishwa kwa kigezo cha gpa kubwa ilhali ile gpa akisimama hapo huioni!!!!
 
gpa mbwembwe tu cha muhimu ni unachoa TIT FOR TAT
 
Kupata 1st au upper second class is a Necessary but not a sufficient condition to be CREAM... Kwa uzoefu wangu watu wengi wenye GPA kubwa wan vitu vya ziada kichwani na walikua busy na shule. Sijawahi kudhani hata siku moja mtu mwenye PASS awe na uelewa mkubwa kuzidi mtu mwenye First Class, kama unadhani inawezekana hiyo kutokea basi utakua umepotoka vikali ama si utakua unawaonea wivu watu waliopata hizo first class...

"KAMA ULISHINDWA KUPATA FIRST CLASS USIJIFARIJI KWA KUSEMA ETI GPA SI KITU AU ETI, MTU WA PASS NI ZAIDI YA FIRST CLASS" EWE MWANANCHI MWENYE MAONI YA HOVYO KAMA HAYA UTAKUA UNAUMWA UGONJWA WA KUCHUKIA, WAKATI VIPANGA TUKITAFUTA HIZO GPA KALI ZA 4.3, 4.4, 4.5, 4.6, 4.7 NYINYI MLIKUA MKIHUDHURIA BASH ZISIZOHESABIKA HALAFU MNAJIFARIJI SAHIV GPA SI KITU.... HUO UJINGA WAKO HUO PELEKA KULEEEEEE, PUMBAAAAAAAAAAV NENDA KATIBIWE HUU UGONJWA :juggle::juggle::loco:
 
OK, HAPA NI MAONI NA MTAZAMO..HATUTOI MATUSI. HAYA MATUSI YANAONESHA UKO VIP, NA HATA HIYO FIRST CLASS SIYO YAKO.
CHAMSINGI TUNATALK KWENYE HALI HALISI MAMBO YAKOJE HUKU MITAANI NA VYUONI.
So acha matusi
 
Kupata 1st au upper second class is a Necessary but not a sufficient condition to be CREAM... Kwa uzoefu wangu watu wengi wenye GPA kubwa wan vitu vya ziada kichwani na walikua busy na shule. Sijawahi kudhani hata siku moja mtu mwenye PASS awe na uelewa mkubwa kuzidi mtu mwenye First Class, kama unadhani inawezekana hiyo kutokea basi utakua umepotoka vikali ama si utakua unawaonea wivu watu waliopata hizo first class...

"KAMA ULISHINDWA KUPATA FIRST CLASS USIJIFARIJI KWA KUSEMA ETI GPA SI KITU AU ETI, MTU WA PASS NI ZAIDI YA FIRST CLASS" EWE MWANANCHI MWENYE MAONI YA HOVYO KAMA HAYA UTAKUA UNAUMWA UGONJWA WA KUCHUKIA, WAKATI VIPANGA TUKITAFUTA HIZO GPA KALI ZA 4.3, 4.4, 4.5, 4.6, 4.7 NYINYI MLIKUA MKIHUDHURIA BASH ZISIZOHESABIKA HALAFU MNAJIFARIJI SAHIV GPA SI KITU.... HUO UJINGA WAKO HUO PELEKA KULEEEEEE, PUMBAAAAAAAAAAV NENDA KATIBIWE HUU UGONJWA :juggle::juggle::loco:

Mpigamsuli tena
 
Last edited by a moderator:
kusoma jambo la kwanza ila kuimplement your cream ni jambo la pili take it in your mind
 
mtabaki kubishana humu, mwisho wa siku advantages za wenye first na upper, huwezi kuzipinga re:tpdc, ulecturer, uprofesor lazima uwe uliperform ngazi ya degree
 
kitu ni kizuri iwapo kinakusaidia. u cream wa mtu haupimwi kupitia matokeo ya darasani. kuna watu unaweza kuwakimbiza class lakini unasema huyu nimemzidi but anajua vitu sana.
uncompare vipi first class ya chuo A na Chuo B ilhali mitihani ni tofauti.
 
aliyepata division 1.7 olevel na advance akapata division 1.3 A level lakini chuo akapata lower second huyu utasema sio cream. Kuna vyuo unaenda kuchukua first class na kuna vyuo unaenda kutafuta first class.
 
Uko sawa mkuu!!!!
 
First class mi naona ni mkao tu ila ukiwaweka wote kati ya first na upper second kwenye delivery wanaweza kuwa sawa!!!!!!

Ila kwa kazi za vitendo au zenye matokeo ya kuonekana kama engineering waweza kuta mtu gpa kubwa ila akawa sio mzuri sana site na mwenye gpa ndogo akawa poa tu site!!!!

Niliomaliza nao mimi chuo kwa mfano wakati tunafanya masters walikuwa na gpa lower second na upper za undergrad lakini walikuwa wazuri sana tu hata kwenye seminar leading/tutorials/presentations lakini hawakuweza kubaki chuo na kufundisha kuliko waliobakishwa kwa kigezo cha gpa kubwa ilhali ile gpa akisimama hapo huioni!!!!
Lazima tuendelee kuwatia moyo wadogo zetu walio bado vyuon kufanya bidii kwenye masomo yao
Lakn baada ya kugraduate na kuanza majukumu yako GPA yako haitakumbukwa tena,kinacho count huku site sio GPA aisee ni uwezo wa ku deliver,kwani cheti kitabaki kwenye file lako tu...
 
aliyepata division 1.7 olevel na advance akapata division 1.3 A level lakini chuo akapata lower second huyu utasema sio cream. Kuna vyuo unaenda kuchukua first class na kuna vyuo unaenda kutafuta first class.

Umesema JAMBO LA MAANA SANA MKUU. Kweli kabisa vipo vyuo mtu anaenda kuchukua first class kama chuo cha nanii kule rock cite.
 
teh teh teh. Hii mada inanichekesha sana. Haya endeleeni kubishana.
 
Kupata 1st au upper second class is a Necessary but not a sufficient condition to be CREAM... Kwa uzoefu wangu watu wengi wenye GPA kubwa wan vitu vya ziada kichwani na walikua busy na shule. Sijawahi kudhani hata siku moja mtu mwenye PASS awe na uelewa mkubwa kuzidi mtu mwenye First Class, kama unadhani inawezekana hiyo kutokea basi utakua umepotoka vikali ama si utakua unawaonea wivu watu waliopata hizo first class...

"KAMA ULISHINDWA KUPATA FIRST CLASS USIJIFARIJI KWA KUSEMA ETI GPA SI KITU AU ETI, MTU WA PASS NI ZAIDI YA FIRST CLASS" EWE MWANANCHI MWENYE MAONI YA HOVYO KAMA HAYA UTAKUA UNAUMWA UGONJWA WA KUCHUKIA, WAKATI VIPANGA TUKITAFUTA HIZO GPA KALI ZA 4.3, 4.4, 4.5, 4.6, 4.7 NYINYI MLIKUA MKIHUDHURIA BASH ZISIZOHESABIKA HALAFU MNAJIFARIJI SAHIV GPA SI KITU.... HUO UJINGA WAKO HUO PELEKA KULEEEEEE, PUMBAAAAAAAAAAV NENDA KATIBIWE HUU UGONJWA :juggle::juggle::loco:

Safi sana kiongozi....huu ndo ukweli unaomaliza kila kitu.
 
aliyepata division 1.7 olevel na advance akapata division 1.3 A level lakini chuo akapata lower second huyu utasema sio cream. Kuna vyuo unaenda kuchukua first class na kuna vyuo unaenda kutafuta first class.
DUUU Umenigusa kaka....
 
Umesema JAMBO LA MAANA SANA MKUU. Kweli kabisa vipo vyuo mtu anaenda kuchukua first class kama chuo cha nanii kule rock cite.

Mkuu unaonekana una wivu sana,kwa taarifa yako hiko chuo cha rock cite,A inaanza 80,wakati chuo ulichosoma wewe A inaanza 75 wakati kule rock city hyo ni B+, "anyway the matter here is what ur going to deliver on the field and not where u hav graduated" wewe uliesoma chuo kizuri na sie tuliosoma vyuo vya kata wote tuko kitaa hakuna tofauti
 
Kupata 1st au upper second class is a Necessary but not a sufficient condition to be CREAM... Kwa uzoefu wangu watu wengi wenye GPA kubwa wan vitu vya ziada kichwani na walikua busy na shule. Sijawahi kudhani hata siku moja mtu mwenye PASS awe na uelewa mkubwa kuzidi mtu mwenye First Class, kama unadhani inawezekana hiyo kutokea basi utakua umepotoka vikali ama si utakua unawaonea wivu watu waliopata hizo first class...

"KAMA ULISHINDWA KUPATA FIRST CLASS USIJIFARIJI KWA KUSEMA ETI GPA SI KITU AU ETI, MTU WA PASS NI ZAIDI YA FIRST CLASS" EWE MWANANCHI MWENYE MAONI YA HOVYO KAMA HAYA UTAKUA UNAUMWA UGONJWA WA KUCHUKIA, WAKATI VIPANGA TUKITAFUTA HIZO GPA KALI ZA 4.3, 4.4, 4.5, 4.6, 4.7 NYINYI MLIKUA MKIHUDHURIA BASH ZISIZOHESABIKA HALAFU MNAJIFARIJI SAHIV GPA SI KITU.... HUO UJINGA WAKO HUO PELEKA KULEEEEEE, PUMBAAAAAAAAAAV NENDA KATIBIWE HUU UGONJWA :juggle::juggle::loco:

Kwa maoni yangu kuna wanaofaulu vizuri kwa haki cuz wao wana struggle pia kuna wale wa magumashi. But sio vizuri ku generalize kuwa first class na uppers wote ni hovyo!
 
Back
Top Bottom