PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Hi, wana Jamii Forum
Natumainia wengi wetu tunaendelea na jukumu hili la ujengaji wa taifa. Kuna lugha zimekuwa zikitumika sana humu kwenye forum hii kwamba wale GRADUATE wenye first and upper second ndio ma-CREAM.
Lakini cha ajabu hawa watu wengi wao thinking capacity yao kimaisha ni duni sana kutokana na wengine kutopata hizo classes kihalali...ie. Kuna chuo cha engineering ambacho nasoma sasa wengi wenye hizo (huku tunaita GPA) kubwa wanatumia juche..ndani ya mitihani... Sasa hii CREAM inatoka wapi ambayo wengi wanajisifia humu.
Then wengine hawawezi kideliver kile ambacho kiko kwenye gpa, sasa ukirimu uko wapi? mfano wengine ndio ma-lecture huku vyuoni but ni mbumbumbu kinoma afadhali yule mwenye PASS.