Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
mtabaki kubishana humu, mwisho wa siku advantages za wenye first na upper, huwezi kuzipinga re:tpdc, ulecturer, uprofesor lazima uwe uliperform ngazi ya degree
Bora uwaambie mkuu, maana wabongo watu wakifaulu wanaongea na wakifeli wanaongea tuache mambo ya kijinga wabongoKwa maoni yangu kuna wanaofaulu vizuri kwa haki cuz wao wana struggle pia kuna wale wa magumashi. But sio vizuri ku generalize kuwa first class na uppers wote ni hovyo!
Hi, wanajamii forum
Natumainia wengi wetu tunaendelea na jukumu hili la ujengaji wa taifa.
Kuna lugha zimekuwa zikitumika sana humu kwenye forum hii kwamba wale GRADUATE wenye first and upper second ndio ma-CREAM.
Lakini cha ajabu hawa watu wengi wao thinking capacity yao kimaisha ni duni sana kutokana na wengine kutopata hizo classes kihalali...
ie. Kuna chuo cha engineering ambacho nasoma sasa wengi wenye hizo (huku tunaita GPA) kubwa wanatumia juche..ndani ya mitihani... Sasa hii CREAM inatoka wapi ambayo wengi wanajisifia humu.
Then wengine hawawezi kideliver kile ambacho kiko kwenye gpa, sasa ukirimu uko wapi? mfano wengine ndio ma-lecture huku vyuoni but ni mbumbumbu kinoma afadhali yule mwenye PASS.
mtabaki kubishana humu, mwisho wa siku advantages za wenye first na upper, huwezi kuzipinga re:tpdc, ulecturer, uprofesor lazima uwe uliperform ngazi ya degree
aliyepata division 1.7 olevel na advance akapata division 1.3 A level lakini chuo akapata lower second huyu utasema sio cream. Kuna vyuo unaenda kuchukua first class na kuna vyuo unaenda kutafuta first class.
Mkuu unaonekana una wivu sana,kwa taarifa yako hiko chuo cha rock cite,A inaanza 80,wakati chuo ulichosoma wewe A inaanza 75 wakati kule rock city hyo ni B+, "anyway the matter here is what ur going to deliver on the field and not where u hav graduated" wewe uliesoma chuo kizuri na sie tuliosoma vyuo vya kata wote tuko kitaa hakuna tofauti
Basi ili uwe katika safe side, pata GPA kubwa. Kwani kuna tatizo gani ukipata GPA kubwa? Jamani, mbona tunapenda kutetea vitu vya ajabu? Hebu pendekeza sasa, umepewa watu 50 usiowajua, unatakiwa uwapate watu watatu, wewe ungefanyaje? Wakisema kigezo cha uzoefu, mnalalamika eti vijana waliograduate watakosa sifa, wakisema kigezo cha GPA mnalalamika eti GPA kubwa sio uchapakazi, wakisema toeni mawazo yenu kigezo gani kitumike, hamtoi mawazo, mnaishia kulalamika tu! Sasa unalalamika bila kutoa mawazo, huoni wewe hauna mchango wowote katika jamii?Mimi nadhani sasa ifike wakati hawa recruit agency wawe na mtazamo chanya?sasa hawa wenye GPA ndogo waende wapi maana siamini kama hawana skills za kutosha ninanvyojua mimi wapo wenye GPA kubwa halafu hawana skills ofis wao ni kujisikiaa tu wamesoma sana si tunawaona wao ni wameparfom ila perfomance hakuna ni vyeti tu...!
NB:naomba ieleweke huu ni mtazamo tu sio nawahukumu...ila na ww unaweza kutoa mchango wako....!:juggle::juggle:
Na hapa ndio wanafunzi wengi wa vyuo mnapojichanganya na kudanganyana eti oooh.. GPA haina maana.. We hebu jiweke kwenye nafasi ya muajiri, umepokea application 100 za watu ambao wote wana degree. Wewe unahitaji watu wawili. Utaangalia kigezo gani kuwachuja? Maana unapozungumzia performance maana yake ni lazma nikuajiri kwanza, nikupe kazi ndio ntajua performance yako!
Wanafunzi wa vyuo msijidanganye GPA ndio kigezo cha kwanza waajiri wengi wanachoangalia kutenganisha mchele na chuya.