Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
mtabaki kubishana humu, mwisho wa siku advantages za wenye first na upper, huwezi kuzipinga re:tpdc, ulecturer, uprofesor lazima uwe uliperform ngazi ya degree
Hapo kwenye uprof nakukatalia, wapo maprof ambao hawakupata hizo GPA kama 1st na .2nd upper. Cha msingi ni kwamba wenye pass uwezo wao wa ku deliver ni mdogo compare na wenye GPA kubwa lakini wapo wachache wana uwezo mkubwa tu sema 5% to 10% coz hawakupata hizo GPA kwa kupenda, nadhani hawa wachache ndo mtoa maada anaazungumzia.