Hivi mtu kuwa Cream inamaanisha kuwa na First Class au Upper Second?


Good Analysis!
 

Sasa mbona hii mada imejirudia rudia?
 
Nashukuru mungu mimi nina GPA 2 kama mwalimu nmeajiriwa tena dar es salaamu-kinondön. Wenye GPA ndogo karibu ualimu maana hamna uwezo. Aliyefeli form form alienda ualimu. Six ualimu .chuo Ambao sio walimu na wana GPA Ndogo karibu ualimu kila kila kitu kidogo. Ila GPA Ndogo huku kungine usilalamike maana uwezo.
 

Sasa iv nikuulize , mitiani watu walifanya tofauti kabisa, mtu kasoma UDSM ana GPA ya 3.5, mwingine kasoma vyuo vidogo kabisa sio kwa kupenda ila imetokea kapata 4.2, utamchukua nani wakati wa short listing na kwa ubora wa chuo unajua ww kama muajiri. BT KUITWA KWENYE INTERVW kuna mambo mengi wanaangalia, ni GPA tu? mkuu soo wanaangalia kwanza chuo au GPA, au qualification wanazoitaji? kwa maelezo yako wenye GPA kubwa tu wako kazini, wako wangapi? em peleleza ndugu zako wenye kaz waulize walipataje?
 

jina la chuo nalo linachangia ,ndo maana mdgo wangu nilimuulizaga et kwann unachaga udsm akasema eti cz ni kikubwa frika na kinajulikana
 

uombe ushauri usijisifie sasa kwakuwa una gpa hyo ndgo ,ukivuta bangi ukasema ww ni muhuni utachekwa,muhuni mjini hapa anamiliki gari,nyumba nzuli,mke na akaunti ya maana huyo ndo muhuni,JIPANGE WW
 
hahahahahah kua na 2.5, kua na 5.0, sasa iv ni UNDUGU KAZINI, KAMA SIO NI MPUNGA, si maanishi kote bt sehemu nyingi ndio ivo, unasoma Ndio bt UNAMJUA NANI? KAMA connection hakuna kuna mashamba mengi tuu Tanzania ni kazi pia, sio kwamba na kashifu ni ukweli utasubiri sana hadi upate bahati ya kaz kama hujulikani, HII NDIO TANZANIA.
 
Vyuo vidogo kabisa?!Una maana gani kusema hivyo mkuu?Vidogo kwa umri,eneo ama idadi ya wanachuo?Kama ni vidogo atapataje mtu hiyo gpa ya 4.2?Tena kwa maoni yangu huyu anafaa zaidi kuliko yule wa UDSM chuo kikongwe chenye facilities nyingi halafu unapata gpa ya 3.5?!!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sisi wenye GPA Ndogo daa tunajitetea sana. Tunatoa mifana kujifariji. Ualimu hakuna interview shwaaa unaingia bila shaka. Kwan hyo GPA Ndogo ulipenda kupata au ndio uwezo? Usilalamike bana si ulicheza chuo sasa basi komaa.
 
Hv jamani chuo maana yake nini? Chuo ni sehemu ya kujifunza theory na sio practice. Kwa hyo hapa mtu mwenye kufaulu vizuri ndio mzuri .sasa kama wewe huna theory unapractice nini?
 
 

Uko sahihi sana bro
 
GPA kubwa inafaida hasa kwa waotaka ajira za kufundi vyuo vikuu, ila taasisi nyingine wanawaogopa kwa sababu ni wepesi kushawishika kuacha kazi
 
Wote mmeenda chaka aisee GPA kubwa inatumika kupunguza idadi ya applicants tu aisee...sio ufanisi kwenye kazi..kama unaweza au huwezi kazi itakuja kujulikana kwenye Performance Evaluation Ofisini..!! Over..!!
 
Grade point averages, test scores, interviews and even resumes are poor indicators of whether a job applicant is right for the position, said a top human resources executive at Google.
“One of the things we’ve seen from all our data crunching is that G.P.A.’s are worthless as a criteria for hiring, and test scores are worthless,” said Laszlo Bock, senior vice president of people operations at Google, in a recent interview with The New York Times.
Google doesn’t even ask applicants to submit their GPAs and test scores anymore, unless they are very recent college graduates.
Interviews with prospective candidates weren’t very useful, either. The company conducted a study of its hiring process and concluded that there was “zero correlation” between how well an interview went and a
hired employee’s job performance.
Google also abandoned its infamous practice of asking interviewees incredibly difficult brain teaser questions. Here was a sample question, courtesy of Business Insider:
“Every wife in the village instantly knows when a man other than her husband has cheated, but does not know when her own husband has. The village has a law that does not allow for adultery. Any wife who can prove that her husband is unfaithful must kill him that very day. The women of the village would never disobey this law. One day, the queen of the village visits and announces that at least one husband has been unfaithful. What happens?”
Maddeningly difficult logic puzzles, like the one above, “don’t predict anything,” said Bock. “We found that brainteasers are a complete waste of time,” he said.
The reason that grades and test scores tend not to predict success in the workplace is that the work environment is nothing like a school environment, said Bock. College classes are highly structured, and stress excellence in a narrow set of skills that are often irrelevant to job performance.
“I think academic environments are artificial environments,” he said. “People who succeed there are sort of finely trained, they’re conditioned to succeed in that environment.”
In lieu of traditional measures of achievement, hiring executives are cutting out the middlemen of resumes and studying applicants directly via their online presence. Internet searches can paint a fairly compelling portrait of a prospective employee, and job-oriented networking services like LinkedIn help connect employers to the people who interest them.
Source: dailycaller.com/2013/06/20/google-executive-gpa-test-scores-worthless-for-hiring/
 

upper second class siyo GPA ya kubeza, hawa wanaweza kuwa watafiti wazuri sana na wahadhiri kwa kutumia vigezo vya tcu na nacte
 
Am happy with my 2.0 gpa, na maisha yanasonga mbele bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…