La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Nliposoma mimi majority ya walopata GPA kubwa hazikuwa halali zao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gpa mbwembwe tu cha muhimu ni unachoa TIT FOR TAT
mwenye gpa kubwa maranyingi anakuwa anajua vitu vingi sana.sikubaliani heti mtu mwenye pass akawa na uelewa mkubwa kuliko mwenye first class.marachache sana mwenye pass anaweza kuwa na uelewa mkubwa sana wa scholastic education.kupata 1st au upper second class is a necessary but not a sufficient condition to be cream... Kwa uzoefu wangu watu wengi wenye gpa kubwa wan vitu vya ziada kichwani na walikua busy na shule. Sijawahi kudhani hata siku moja mtu mwenye pass awe na uelewa mkubwa kuzidi mtu mwenye first class, kama unadhani inawezekana hiyo kutokea basi utakua umepotoka vikali ama si utakua unawaonea wivu watu waliopata hizo first class...
"kama ulishindwa kupata first class usijifariji kwa kusema eti gpa si kitu au eti, mtu wa pass ni zaidi ya first class" ewe mwananchi mwenye maoni ya hovyo kama haya utakua unaumwa ugonjwa wa kuchukia, wakati vipanga tukitafuta hizo gpa kali za 4.3, 4.4, 4.5, 4.6, 4.7 nyinyi mlikua mkihudhuria bash zisizohesabika halafu mnajifariji sahiv gpa si kitu.... Huo ujinga wako huo peleka kuleeeeee, pumbaaaaaaaaaav nenda katibiwe huu ugonjwa :juggle::juggle::loco:
Basi ili uwe katika safe side, pata GPA kubwa. Kwani kuna tatizo gani ukipata GPA kubwa? Jamani, mbona tunapenda kutetea vitu vya ajabu? Hebu pendekeza sasa, umepewa watu 50 usiowajua, unatakiwa uwapate watu watatu, wewe ungefanyaje? Wakisema kigezo cha uzoefu, mnalalamika eti vijana waliograduate watakosa sifa, wakisema kigezo cha GPA mnalalamika eti GPA kubwa sio uchapakazi, wakisema toeni mawazo yenu kigezo gani kitumike, hamtoi mawazo, mnaishia kulalamika tu! Sasa unalalamika bila kutoa mawazo, huoni wewe hauna mchango wowote katika jamii?
Hi, wana Jamii Forum
Natumainia wengi wetu tunaendelea na jukumu hili la ujengaji wa taifa. Kuna lugha zimekuwa zikitumika sana humu kwenye forum hii kwamba wale GRADUATE wenye first and upper second ndio ma-CREAM.
Lakini cha ajabu hawa watu wengi wao thinking capacity yao kimaisha ni duni sana kutokana na wengine kutopata hizo classes kihalali...ie. Kuna chuo cha engineering ambacho nasoma sasa wengi wenye hizo (huku tunaita GPA) kubwa wanatumia juche..ndani ya mitihani... Sasa hii CREAM inatoka wapi ambayo wengi wanajisifia humu.
Then wengine hawawezi kideliver kile ambacho kiko kwenye gpa, sasa ukirimu uko wapi? mfano wengine ndio ma-lecture huku vyuoni but ni mbumbumbu kinoma afadhali yule mwenye PASS.
wapi huko funguka thatha,walipewa au?nliposoma mimi majority ya walopata gpa kubwa hazikuwa halali zao!
upper second class siyo GPA ya kubeza, hawa wanaweza kuwa watafiti wazuri sana na wahadhiri kwa kutumia vigezo vya tcu na nacte
wapi huko funguka thatha,walipewa au?
wapi huko funguka thatha,walipewa au?
chuo gani hicho wanagawa hivyo?.sina uhakika na hayo dawalikuwa wanapewa,me mwenyewe nlikuja kufunguka 2nd year semester ya pili
Napita tu :car:
Am happy with my 2.0 gpa, na maisha yanasonga mbele bila shida
ndiyo uwezo wako na huna budi kufurahia, ungetaka uone fahari kwa GPA kubwa ya rafiki yako?
KUNAJAMAA ALIKUWA ANAWADANGANYA WENZAKE "KWANINI UNARISITI?,JAMAA LINAJIBU,UJUE MIMI NILIPATA C ZOTE,ILA NARISITI NIPATE A,sio uwezo wangu, sikuamua kuwa na GPA kubwa ila nilitaka niende kinyume cha wengine wanavyofanya