Hivi mtu unawekaje namba yako ya simu huku eti watafuta mchumba?

Hivi mtu unawekaje namba yako ya simu huku eti watafuta mchumba?

Humu na bado mtagundua mengi afu hakuna mapenzi ya kweli zaidi ya kudanganyana na bado wapo wengi naskia wameumizwa wengine hawataki
 
Back
Top Bottom