Hivi mtu unawezaje kufanya mapenzi na mtu aliyebikiriwa na njemba mwingine?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Habari,

Inawezekanaje kufanya mapenzi na mtu asiye na bikra halafu unajisifia umepata kifaa?

Halafu unajifanya kupendaaaa... Eti ukiachwa unapata presha, asipate presha alombikri upate wewe!!? Umama huo. Eti unaweka bifu na mwanaume mwenzio kisa chungu kinachovuja[emoji57]

Unajisikiaje kupitisha dudu yako kwenye mabaki ya njemba mwenzio? Kinyaa[emoji57]. Bado unatia Ulimi! Dunia simama nishuke.

Mtu hana bikra unamsifia kwamba kajitunza na ni mtamu.. Huo ni uongo. Siwezi sifia makombo..

Unajidai kupata demu mkali. Mungu akikufunulia waliopita hapo utakaa chini ulie. Vitoto vidogo lakini mashine zimechezewa sana.. mileage za kutosha tu. Hapa sijasema injini alizoshusha hadi hapo alipo..

Najua kweli umependa na husikii la mjumbe wala mpiga adhana, lakini kumbuka no matter how beautiful she is, someone somewhere is tired of her shit.
 
Habari,

Inawezekanaje kufanya mapenzi na mtu asiye na bikra halafu unajisifia umepata kifaa?

Unajisikiaje kupitisha dudu yako kwenye mabaki ya njemba mwenzio? Kinyaa[emoji57]. Bado unatia Ulimi! Dunia simama nishuke.

Mtu hana bikra unamsifia kwamba kajitunza na ni mtamu.. Huo ni uongo. Siwezi sifia makombo..

Unajidai kupata demu mkali. Mungu akikufunulia waliopita hapo utakaa chini ulie. Vitoto vidogo lakini mashine zimechezewa sana.. mileage za kutosha tu. Hapa sijasema injini alizoshusha hadi hapo alipo..

Najua kweli umependa na husikii la mjumbe wala mpiga adhana, lakini kumbuka no matter how beautiful she is, someone somewhere is tired of her shit.
Mkuu, pata kipande chako uende. Usitafute nane alikula kipande kinachokosekana. Katika maisha jali zaidi hicho kilichobaki kuliko kilichotumika.
 
Namshukuru maulana,mwanamke ambae nilimpenda kuliko wanawake wote,na had leo bado namfeel ingawa hatuko wote,..

Bikra yake niliitoa MIMI...na mpaka leo bado tuna connection tunawasiliana sana,yeye yuko inch nyingne namim niko inchi nyingne.
 
Umebalehe jana, au umeanza mapenzi juzi juzi.
Mbona hato ni mambo ya kawaida mjini, bikra chache sana kuliko wasio nazo.

Na wengi utao kutana nao hawana bikra.
Sasa ww unasema inakuwaje?

Tembea uyaone.
Habari,

Inawezekanaje kufanya mapenzi na mtu asiye na bikra halafu unajisifia umepata kifaa?

Unajisikiaje kupitisha dudu yako kwenye mabaki ya njemba mwenzio? Kinyaa[emoji57]. Bado unatia Ulimi! Dunia simama nishuke.

Mtu hana bikra unamsifia kwamba kajitunza na ni mtamu.. Huo ni uongo. Siwezi sifia makombo..

Unajidai kupata demu mkali. Mungu akikufunulia waliopita hapo utakaa chini ulie. Vitoto vidogo lakini mashine zimechezewa sana.. mileage za kutosha tu. Hapa sijasema injini alizoshusha hadi hapo alipo..

Najua kweli umependa na husikii la mjumbe wala mpiga adhana, lakini kumbuka no matter how beautiful she is, someone somewhere is tired of her shit.
 
Hahahahaha umevurugwa wapi tena.......uliowachezea wewe je?

Back
Top Bottom