PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Namshukuru maulana,mwanamke ambae nilimpenda kuliko wanawake wote,na had leo bado namfeel ingawa hatuko wote,..
Bikra yake niliitoa MIMI...na mpaka leo bado tuna connection tunawasiliana sana,yeye yuko inch nyingne namim niko inchi nyingne.