Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

Inategemea na kazi unazofanya, kipato, malezi na mazoea. Kwa hiyo fanya unavyoweza maana kuna kipindi cha miaka mingi sana nilikuwa sipati breakfast ila siku nilipoanza kunywa, nikaanza kuona naongezeka uzito. So ikanibidi nipunguze

Kwa hiyo angalia kwa uhalisia wako maana binadamu wote tuna standard tofauti
 
Mzaramo au Msukuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…