Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Eti wakuu?
Vitumbua au maandazi au donati ngapi ndo standard?
Vitumbua au maandazi au donati ngapi ndo standard?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweni Au Kwako Mkuu??Eti wakuu?
Vitumbua au maandazi au donati ngapi ndo standard?
Vitafunwa hivyo vinastahili kupimwa kwenye mizani ili kujua uzani wake.Eti wakuu?
Vitumbua au maandazi au donati ngapi ndo standard?
Duu hatari sana.Kuna Mwamba nilikutana naye Tanga alikuwa anakula chapati 10 Hadi 12. Hadi akawa anaenda kunywa chai sehemu tofauti tofauti kwa kuona watu watamshangaa.
Mzaramo au Msukuma?Inategemea na kazi unazofanya, kipato, malezi na mazoea. Kwa hiyo fanya unavyoweza maana kuna kipindi cha miaka mingi sana nilikuwa sipati breakfast ila siku nilipoanza kunywa, nikaanza kuona naongezeka uzito. So ikanibidi nipunguze
Kwa hiyo angalia kwa uhalisia wako maana binadamu wote tuna standard tofauti
Unashauriwa kula vyakula asilia kama mihigo, magimbi. Ndizi na vingine vingi ili uishi maisha marefu, umenikumbusha mabumundaEti wakuu?
Vitumbua au maandazi au donati ngapi ndo standard?
Kiporo wali maharage tunapimaje?Eti wakuu?
Vitumbua au maandazi au donati ngapi ndo standard?
Yaani akawa anaenda sehemu tofauti tofauti hadi afikishe 10 kwa siku 1 au alikuwa anagonga 10 kwa mkupuo leo hapa kesho pale?Kuna Mwamba nilikutana naye Tanga alikuwa anakula chapati 10 Hadi 12. Hadi akawa anaenda kunywa chai sehemu tofauti tofauti kwa kuona watu watamshangaa.