Nimetuma hela kwenda S-Pesa na meseji kutoka Tigopesa kuwa hela imetumwa Sportpesa ila kwenye account ya Sportpesa haijaingia.ili tatizo hata kwenu lipo?
Jana usiku mimi nimenunua umeme kwa kupitia tigopesa na meseji ya kuthibitisha muamala wakaniletea lakini meseji ya token hawakuniletea ikabidi niwapigie simu wakaniambia kwamba kuna tatizo la umeme yani mpaka muda huu ninavyoandika bado hawajanitumia token

Ndiyooo,,jana usiku tigoPesa wamezingua huduma zao. Yaani jana nimenunua umeme muamala wakathibitisha lkn token hawa kuleta. Kupiga simu wakasema mtandao uko chini. Yaani kwa technolojia hiyo watatupoteza