Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kuna tatizo kwenye huduma ya Tigopesa au jana ni siku yao ya kuibaJana usiku mimi nimenunua umeme kwa kupitia tigopesa na meseji ya kuthibitisha muamala wakaniletea lakini meseji ya token hawakuniletea ikabidi niwapigie simu wakaniambia kwamba kuna tatizo la umeme yani mpaka muda huu ninavyoandika bado hawajanitumia token