Are u serious mkuu?
Hebu niendelee kuwasikiliza kina baba hapa ...
haya endeleeni kutwambia ni muda gani muafaka kuingia home?
Kuna wengine tukiwahi, watoto wanakosa amani.....ili wawe na amani tunarudi wakiwa wameshalala, na tunaondoka kabla hawajaamka.... Watoto tunaonana weekend...................Mwanaume anatakiwa kurudi home baada ya muda wa kazi kuisha. Rudi nyumbani mapema ucheze na mtoto/watoto, mle dinner pamoja na familia yako inapendeza kwa kweli.
dear...tumesema inategemea jamani....kama mimi ungependa nirudi saa ngapi?
Mimi kwangu sina muda maarumu,mara 11 jioni,mara saa 2,mara saa 5,sometime saa 8 na ukiona mkeo anakupigia kelele ooooh sijui nini, toka nae na siku hiyo uhakikishe mnarudi alfajiri ili ajionee asinzie mezani aliwe na mbu akisema baba watoto twende we unamwambia subiri kidogo tu mpenzi tunaondoka sasa hivi,uone kama atarudia tena ukimwambia tena twende atakataa ila atakwambi usirudi alfajiri.
Hebu niendelee kuwasikiliza kina baba hapa ...
haya endeleeni kutwambia ni muda gani muafaka kuingia home?
inategemeana na kazi unayoifanya,uamuzi wa mwanaume,tabia ya mwanamke,...lakn kwa upande wangu mimi kutokana na kazi ninayofanya na tabia ya mwanamke wangu napenda zaidi kurudi asubuhi,akiwa mke wangu anajiandaa kwenda kazini
Saa mbili mpaka saa nne usiku ikizidi hapo kuwe na sababu ya kueleweka sio ooh ikaenda ikarudi nilipata emergency oh
mnatakiwa muwe karibu na family zenu ,mjue maendeleo ya watoto wenu..kuna matatizo gani nyumbani sitegemei uingie home saa sita muanze kupeana update na wife wakati ni muda wa kulala
Hii ratiba ya kuingia saa tano au sita usiku unalala asubuhi kazini kurudi tena saa sita usiku ...aggggh habari za familia mtazijuaje?
hahahahahah IGWE mbona una vituko wewe asubuhi ..mie nakumwagia kikaango cha mayai usoni ..am kidding inakupasa ubadile huwezi jua ni kiasi gani unamkwaza mwenza wako
maendeleo ya familia na matatizo ya nyumbani wewe kama mama ni jukumu lako kuniambia,...kama yapo anyway......ngoja turudi kule walikotoka wazazi wetu nadhani heshima ya ndoa inaweza rudi....mpo hapo?
Yes he is...hapa ndo waasia/arabs wanapotuacha...kuwahi kurudi ni wajibu sasa hiyo fatherhood exercise unaifanya saa ngapi?,rudi afu toka tena jirani, kama kuna bomoa bomoa ujipange na wenzako...au kuna ka vitz ka blue kanakujakuja kwa home pia wakuhabarishe..
kUKWAMBIA SAA NGAPI WAKATI WEWE UNARUDI ASUBUHI IGWE?
Majukumu hayakwepeke....ila kuwa na ratiba ya kurudi 12 kama kuku hapana...
Kurudi inakua muda wowote toka sa 11 jioni hadi saa 11 asubuhi.....