Hivi muda wa MWANAMUME kurudi nyumbani ni saa ngapi?

nyumbani nafika punde tu nafunga kazi. nakuwa na muda mzuri na mama, namsifiwa maumbile yake, namsaidia kupika na kuosha vitoto. punde watoto wakienda kulala, nalifungua fridge tunakamata mbili mbili baridi huku nikimpa sifa zote. sababu tu ni kumtayarisha kwa ********hapo sasa utaipenda, hebu jaribu leo
 
........Mwanaume anatakiwa kurudi home baada ya muda wa kazi kuisha. Rudi nyumbani mapema ucheze na mtoto/watoto, mle dinner pamoja na familia yako inapendeza kwa kweli.
wenye wivu utawajua tu
 

haina haja ya kumpeleka huko kote kama hakuna la msing bora urudi mapema home coz kiwanja cha maana ni kwako tu.unaweza ukampeleka akaona mazingira ya kumtisha mfano kuna bamed wazuri kushinda yeye alafu wamekuzoea sana na akawa hana amani kabisa.na kujikuta mnaingia kwenye ligi.
 
Sio wanaume woote wanafaa kuwahi kurudi... aaaiseee inategemea mambo mengi mno which determines the time ya mwanaume kurudi ndani....
 
kweli huu mwongozo nimeupenda
 
Hii ya ukweli mkuu, ila heshima baina yenu muhimu sana!
 
jaman yani mimi hapa saizi nimenuniwa ndo nimerudi nimeingia tu naye anasema usiku mwema kanuna mpaka basi wakati nilikuwa kwenye mishe mishe za kumsakia maisha wagumu hawa wanawake wa kuelewlew sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…