Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 152
- 221
Wakuu habari, natumai mko poa sana.
Hivi mumewahi kufikiri kuhusu ujio wa automation kwa miaka hata 50 ijayo?
Mi nadhani watu wawaandae vijana wao Yani watoto wao na suala zima la kujiajiri, kwasababu itafikia hatua kama ni kiwanda kizima kinaendeshwa na watu wawili tu na shughuli zote zinamalizika ambapo wangeaajiriwa watu hata kuanzia 20 kwenye shughuli zote lakini wawili watatosha.
Kuna hii system wamesema wanataka waianzishe kitaifa kuhusiana na ufundishaji wa wanafunzi mashuleni ambapo mwalimu mmoja anaweza kufundisha almost nchi nzima akiwa sehemu mmoja kitu ambacho automatic kitapunguza ajira za ualimu.
Watu wajiajiri Aiseee na Nchi Ishindwe Kuendelea yenyewe. Mana itakuwa ni Balaa 😀😃